WACHEZAJI wa zamani wa klabu mbalimbali jijini Mwanza wameandaa tamasha la michezo ya kirafiki katika mchezo wa soka na ...
Kikosi hicho cha Wachimba Dhahabu wa Chunya, kimewakosa nyota hao wa zamani waliowahi kutamba na Simba katika dakika za lala ...
JIONI na usiku wa Jumapili mambo yalikuwa mazuri sana kwa wadau wa soka ndani na nje ya Tanzania. Timu ya Simba ilipata sare ...
KWENYE ulimwengu wa michezo, soka umekuwa moja ya burudani kubwa inayovuta hisia za mamilioni ya watu kote duniani.
DROO ya mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024, itakayofanyia Agosti mwaka huu, imefanyika juzi ...
WAKATI dirisha dogo la usajili likifungwa usiku wa jana, timu ya Azam imeondoa nyota watano ndani ya kikosi hicho, huku ...
MCHEZAJI wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Petit, amewataka mabosi wa Tottenham kumfukuza kocha wao, Ange Postecoglou.
BAADA ya kukataa kwa muda mrefu, hatimaye kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amefichua kuwa timu yake inahitaji kusajili mshambuliaji kuchukua nafasi ya mastaa wake walioumia ambao ni Bukayo Saka ...
BEKI wa kimataifa ambaye timu inatumia gharama kubwa za fedha kumleta hapa nchini kisha kumhudumia, hatakiwi kufanya makosa ...
JANA Tanzania imewakilishwa vyema na staa wa zamani wa Taifa Stars, Mrisho Ngassa kule Nairobi, Kenya kulikokuwa na droo ya fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024.
KWA mujibu wa tovuti ya The Sun, mabosi wa Manchester United wamefanya mazungumzo na timu mbalimbali barani Ulaya ikiwamo ...
MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi (Mapinduzi Cup) ambayo hufanyika kama sehemu ya maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya visiwa ...