WACHEZAJI wa zamani wa klabu mbalimbali jijini Mwanza wameandaa tamasha la michezo ya kirafiki katika mchezo wa soka na ...
MCHEZAJI wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Petit, amewataka mabosi wa Tottenham kumfukuza kocha wao, Ange Postecoglou.
KWA mujibu wa tovuti ya The Sun, mabosi wa Manchester United wamefanya mazungumzo na timu mbalimbali barani Ulaya ikiwamo ...
JIONI na usiku wa Jumapili mambo yalikuwa mazuri sana kwa wadau wa soka ndani na nje ya Tanzania. Timu ya Simba ilipata sare ...
KWENYE ulimwengu wa michezo, soka umekuwa moja ya burudani kubwa inayovuta hisia za mamilioni ya watu kote duniani.
DROO ya mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024, itakayofanyia Agosti mwaka huu, imefanyika juzi ...
BEKI wa kimataifa ambaye timu inatumia gharama kubwa za fedha kumleta hapa nchini kisha kumhudumia, hatakiwi kufanya makosa ...
WAKATI dirisha dogo la usajili likifungwa usiku wa jana, timu ya Azam imeondoa nyota watano ndani ya kikosi hicho, huku ...
MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi (Mapinduzi Cup) ambayo hufanyika kama sehemu ya maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya visiwa ...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limemteua mwamuzi Ahmed Arajiga na wenzake watatu kuchezesha mechi ya Kundi B Kombe la ...
STORI kubwa iliyozunguka maisha ya beki wa kulia, Israel Mwenda, katika klabu yae ya zamani ya Simba, ni uhusiano wake na ...
ADHABU ya mechi nane alizoadhibiwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, Adel Amrouche kwa kosa la kutoa shtuma nzito ...