WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amethibitisha kuunga mkono Israel, siku chache baada ya kusitishwa kwa mapigano Gaza.
MAREKANI : MAELFU ya wakazi kusini mwa mji wa California wametakiwa kuondoka baada ya kuzuka moto mpya wa nyika, kaskazini mwa Los Angeles.
Dar es Salaam: Katika kuashiria ujio mpya wa teknolojia ya simu zinazotumia akili mnemba (AI), Samsung imekuja ...
SERIKALI ya mpito nchini Gabon imesema itafanya uchaguzi wa rais Aprili 12, hii ikiwa ni hatua muhimu ya kuurejesha upya utawala wa kiraia ...
GENEVA: Ushirikiano wa Kimataifa wa Chanjo- Gavi umesema karibu dozi milioni 10 za Malaria zilipelekwa barani Afrika katika mwaka wa kwanza wa utoaji wa kawaida wa chanjo kote barani humo.
Senzigwa amesema kuwa tayari vikundi 15 vilivyokidhi vigezo vimeshakopeshwa ikiwa ni pamoja na kukidhi vigezo viliwekwa kwa mujibu wa taratibu mpya za serikali. Amesema katika vikundi hivyo 15 ...
MFUNGWA mmoja Pamela Hemphill, aliyehukumiwa kifungo cha siku 60 kushiriki kwenye ghasia za Capitol amekataa msamaha wa Rais Trump.
MWENYEKITI wa Bodi ya Kituo cha  Uwekezaji  Tanzania  (TIC ) Binilith Mahenge ameeleza Mkoa wa Shinyanga umekuwa ...
URUSI : WANAJESHI wa Korea Kaskazini wanazidi kuteketea kwa asilimia 40 baada ya miezi mitatu ya mapigano katika mkoa wa ...
SERIKALI imebainisha kuwa itaendelea na utoaji wa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini ili ...
RAIS Donald Trump ameamuru maafisa wa Marekani kuanza kutekeleza mpango wa kurudisha wahamiaji wasiokuwa na hati za kisheria, ...
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda ameongoza kikao cha tathmini ya mkataba wa lishe jiongeze na tuwavushe salama kilichofanyika Januari 22,2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa ...