RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo yatafanyika Kitaifa jijini Dodoma Februari 5, mwaka huu. Mwenyekiti wa Jumuiya ...
MACHO na masikio ya Watanzania Dodoma. Ndivyo ilivyo kutokana na Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanza leo jijini hapa ambao pamoja na mambo mengine, wajumbe takriban 2,000 ...