SERIKALI imebainisha kuwa itaendelea na utoaji wa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini ili ...
WANANCHI wa Wilaya ya Karatu jijini Arusha, wametakiwa kuhakikisha kuwa wanatumia Taasisi za fedha zilizosajiliwa ambazo ...
VIONGOZI wa vyama vya viasa na wachambuzi wa siasa wamewashauri viongozi wapya wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA) ...
MAKAMU wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayeshughulikia masuala ya nishati na mabadiliko ya hali ya hewa, Dk ...
TETESI za usajili zinasema wawakilishi wa mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, wamekutana na viongozi wa ...
URUSI : WANAJESHI wa Korea Kaskazini wanazidi kuteketea kwa asilimia 40 baada ya miezi mitatu ya mapigano katika mkoa wa ...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu ...
RAIS Donald Trump ameamuru maafisa wa Marekani kuanza kutekeleza mpango wa kurudisha wahamiaji wasiokuwa na hati za kisheria, ...
UMOJA wa Mataifa unatafuta dola milioni 910 ili kutoa msaada wa kibinadamu kwa watu kaskazini mwa Nigeria, wanaokabiliwa na ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amemtaka Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe, kusimamia kwa umakini masuala ya milipuko ya ...
MARA: MKUU wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kuchangamkia fursa za kiuchumi ...
MAREKANI : UMOJA wa Afrika umesikitishwa na uamuzi wa Marekani kujiondoa Shirika la Afya Duniani (WHO). Hivi karibuni, Rais ...