Jumla ya wanafunzi 11,524 kutoka kaya maskini zilizotambuliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wamenufaika na mkopo wa elimu ya juu kwa asilimia 100 ili kuendelea na masomo katika vyuo ...