Nina uhakika hivi leo ukimtaka Mchina wa Kariakoo akutengenezee mbege atakutengenezea kwa mikono yake baada ya muda mfupi tu. Mbona “gongo” wanatengeneza humuhumu uswahilini mwetu, wanaipa majina ...