Malipo yasiyogharamiwa na bima ni asilimia 20 ya gharama za matibabu kwa watoto ambao hawajaanza shule ya msingi, malipo kwa ...
Katika njama, baada ya kuhitimu na kufuata njia tofauti, Barden Bellas huungana tena kwa utendaji wa mwisho. Sasa, wakiwa wametoka chuo kikuu, wanajaribu kutafuta mahali pao katika ulimwengu wa kweli.
Kwa mujibu wa kanuni 17 (45) za Ligi Kuu Bara, timu mgeni ina haki ya kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mechi angalau mara moja kabla ya siku ya mechi katika muda tarajiwa wa mchezo husika.
Maafisa wa Marekani wameendelea kusema mara kwa mara kwamba wahamiaji wasio na vibali nchini humo wanapaswa kuondoka kwa hiari, badala ya kukamatwa na kufukuzwa. Hii ni hatua ya hivi punde zaidi ...
Wanaanga wa NASA Sunita Williams na Butch Wilmore, ambao wamekwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu kwa muda wa miezi 9, hatimaye watarejea duniani. Wanaanga hao walienda kwenye kituo ...
Russia and Ukraine accuse each other of blowing up Russian gas pumping station Russia and Ukraine accused each other on Friday of blowing up a Russian gas pumping station in a border area where ...
Mkurugenzi Mtendaji wa UN Women, Sima Bahous amekaribisha kwa dhati kupitishwa kwa Azimio la kisiasa juu ya maadhimisho ya miaka 30 ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Wanawake uliofanyika Beijing, ...
Activity Outlook (PAO) 2023-2025. It said five segments – drilling, fabrication, offshore support vessel (OSV), pipelines, and maintenance operations – are expected to see an increase in ...
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake mwaka 2025 yanatumika kama fursa ya kusherehekea maendeleo yaliyopatikana lakini pia kama kumbusho la kazi kubwa inayosalia. Umoja wa Mataifa unaendelea ...
MWANAMKE wa Kikenya, amekamatwa kwa usafirishaji wa dawa za kulevya huko Vietnam. Imepangwa kunyongwa kesho. Vietnam ina sheria kali zaidi duniani kuhusu dawa za kulevya, ikiwa ni pamoja na adhabu ya ...
Picha na Hadija Jumanne. Dar es Salaam. Wakazi 14 wa Ifakara mkoani Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 52 yakiwamo ya kujipatia fedha kwa njia ya ...