SERIKALI kupitia Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Mamlaka za majisafi na Usafi wa Mazingira imekuwa ikifanya kila jitihada kuhakikisha wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi wanapata huduma ya ...
Aidha, amewahimiza watumishi hao kufuatiliwa kwa karibu Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya na kwenye vituo vya afya ili waongeze kasi ya kuwahudumia wananchi kwa weledi.