ambako alisomea Masuala ya Vyombo vya Habari na Sanaa ya Maigizo ‘Media and Theater Arts’ na alihitimu mwaka 2021. Mrembo huyo alianza kujihusisha na uigizaji akiwa na umri wa miaka 14, filamu yake ya ...
Aunt aliyewahi kushiriki mashindano ya urembo hadi kuangukia kwenye sanaa ya maigizo, alikuwa ni mmoja wa wasanii wasioishiwa skendo kwenye vyombo vya habari na mitandaoni tofauti na sasa na anakiri ...
Na hichi ndicho kimeendelea kumfanya Mkojani kupendwa na kufuatiliwa na wengi. Akizungumza na Mwananchi mchekeshaji huyo aliyeanza kufanya sanaa ya maigizo ya vichekesho mwaka 2004, amesema, kazi zake ...