Wakongo hao wanakikimbilia Rwanda, Uganda, Burundi, Tanzania na Kenya. Katika kujiokoa kila kitu kinavuka mipaka kuanzia silaha ndogo na kubwa yote hayo yakitishia usalama. Uwezekano wa kuongezeka ...