Tanzania kama ilivyo kwa nchi zingine za Kusini mwa Jangwa la Sahara ina idadi kubwa ya mifugo ya asili kuliko iliyoboreshwa. Hivyo, kaya zinazojishughulisha na ufugaji zinafuga mifugo ya asili.
Safari yake ya utendaji katika wadhifa wa urais, ilianza na mashaka kutoka kwa baadhi ya wananchi, wakidhani uendelezaji wa ...