Hifadhi ya Ngorongoro, yenye ukubwa wa mita za mraba 8,292, ilianzishwa mwaka 1959 kwa shughuli mseto ikiwa na wakazi 8,000 na mifugo iliyokadiriwa kufikia 261,000.
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imedhibiti ujangili wa wanyamapori hasa tembo, ndani na nje ya Hifadhi ...
” Kreta ya Ngorongoro ni sehemu pekee ambako watalii wetu wengi wamekuwa wakivutiwa kuja kutembelea na kwa muda sasa tumekuwa ...