Jeshi lilikuwa limechoka. Vita moja baada ya nyingine, watu waliteswa. Walihitaji kiongozi mkuu. Kiongozi huyo hakuwa mwingine bali ni Uday Hussain. Wakati mtoto wa Saddam Hussein alipojitokeza ...
Mwishoni mwa miaka ya 1990, Saddam Hussein alimwendea mpiga picha akiwa na ombi la kushangaza. Saddam Hussein, ambaye aliingia madarakani mnamo mwaka 1979, alibakia kuwa rais wa Iraq hadi uvamizi ...