"Mimi ni mtu wa kubadilisha badilisha mlo wa mboga mboga au vyakula visivyo vya nyama. Situmii maziwa na mara chache huwa nakula nyama," anasema Nicola mwenye umri wa miaka 54 kutoka Kent.
Nyama ya matumbo ni kipande cha nyama inayotoka katika tumbo la wanyama wa shamabani kama vile ng'ombe, nguruwe, kondoo na mbuzi. Tamaduni nyingi kote ulimwenguni zimekuwa zikitumia kwa muda mrefu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results