Mazishi yatafanyika Jumatatu 19 Septemba saa 7:00 mchana kwa saa za Afrika ashariki. Mazishi yatafanyika Westminster Abbey - kanisa la kihistoria ambapo wafalme na malkia wa Uingereza wanatawazwa.
Mazishi yanaweza kuwa wakati wa kutafakari kwa kina kwa familia na marafiki lakini katika enzi hii ya mitandao ya kijamii, ambapo marehemu anaweza kuwa alishiriki habari za ndani kuhusu maisha ...
MWILI wa mwimbaji maarufu wa zamani wa bendi ya Maquis, Tabia Mwanjelwa umewasili nchini jana Jumatatu kutoka Ujerumani, ...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Manyara, Dk Derick Magoma, amefariki dunia ...